• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Ujenzi

UTANGULIZI

Idara hii inawajibika kutoa huduma ya kijamii kwa kuhudumia barabara zote ndani ya Manispaa pamoja na kusimamia Ujenzi wa Majengo ya Serikali na watu binafsi na kufanya matengenezo ya magari na Mitambo ya Halmashauri.

Idara inajumla ya vitengo vitatu(3)

Barabara

Majengo

Ufundi na Mitambo

KITENGO CHA BARABARA

Wajibu wa kitengo cha barabara

  • Kutoa huduma bora ya  mawasiliano kwa njia ya barabara ambayo inaunganisha Tarafa,Kata na Mitaa iliyopo ndani ya Manispaa.
  • Kusimamia ujenzi wa miundombinu ya barabara kama makalavati,mifereji na madaraja.
  • Kusimamia matumizi ya barabara baada ya kujengwa ili kulinda ubora wake.
  • Kutoa vibali vya kukata barabara ili kupitisha huduma za kijamii kama mabomba ya maji,nyaya za mawasiliano.

Wajibu wa watumiaji wa     barabara 

  • Kutumia sehemu za barabara kulingana na matumizi yaliyopangwa.
  • Kutunza miundombinu ya mifereji na makalavati.
  • Kutoa taarifa kwenye mamlaka husika kunapokuwa na dalili za hujuma za miundombinu ya barabara.
  • Kutumia barabara kwa kuheshimu sheria na alama za barabarani.
  • Kutokufanya matengenezo yoyote au kuweka matuta kwenye barabara bila kuwa na kibali cha kutoka idara ya ujenzi

KITENGO CHA MAJENGO

Wajibu na majukumu ya kitengo cha Majengo

  • Kuandaa michoro mbalimbali ya Majengo ya serikali
  • Kufanya makisio ya gharama ya ujenzi na ukarabati wa Majengo ya serikali
  • Kuandaa makisio ya vifaa vya ujenzi kwa kazi zinazofanywa kwa kutumia vibarua na wataalam wa ndani
  • Kusimamia utekelezaji wa miradi/kazi za ujenzi na ukarabati wa Majengo ya serikali zinazofanyika na wakandarasi na wataalamu wa ndani.
  • Kukagua na kuandaa malipo ya kazi zilizofanywa na wakandarasi kwa kuzingatia ubora na thamani ya kazi iliyofanyika

Pamoja na kazi zilizoorozeshwa hapo juu pia kitengo cha Majengo kinajishughulisha na kazi zifuatazo:-

  • Kudhibiti majenzi holela mjini kwa kukagua maeneo yote yanayojengwa kama wamepewa kibali cha ujenzi.
  • Kupokea maombi ya vibali vya ujenzi, ukarabati na kuhamia katika jengo lililomalizika ujenzi na kutoa vibali hivyo kwa aliyekidhi vigezo.

Taratibu na wajibu wa mwananchi/raia anapoomba kibali cha ujenzi/ukarabati

  • Kuandaa michoro ya jengo linalokusudiwa kujengwa
  • Kuwasilisha michoro kwenye ofisi ya mhandisi wa Manispaa ikiwa kwenye majalada matatu (3) kwa ajili ya ukaguzi.
  • Kujaza fomu ya maombi ya kibali cha ujenzi au ukarabati.
  • Kufanya malipo ya kibali cha ujenzi kwa mujibu wa viwango vilivyowekwa na manispaa
  • Kusubiri kibali cha ujenzi/ukarabati kulingana na kikao cha kamati ndogo ya mipangomiji ambacho kinakaliwa mara moja kwa mwezi.

Wajibu wa ofisi ya Mhandisi wakati wa mchakato wa upatikanaji wa vibali vya ujenzi/ukarabati.

  • Kupokea na kukagua michoro ili kuanzisha mchakato wa upatikanaji wavibali vya ujenzi
  • Kusajili maombi ya kibali cha ujenzi/ukarabati kwa mteja aliyekidhi vigezo
  • Kusajili maombi ya kibali cha ujenzi/ukarabati kwa mteja aliyekidhi vigezo.
  • Kuwasilisha michoro iliyosajiliwa kwenye ofisi ya Mipangomiji kwa hatua nyingine za ukaguzi
  • Kutoa vibali vya ujenzi kwa wananchi kwa michoro iliyopitishwa/kuidhinishwa na  kamati ndogo ya Mipangomiji.

KITENGO CHA MITAMBO

Wajibu na majukumu ya kitengo cha Mitambo

  • Kukagua Mitambo, magari, pikipiki za Manispaa kabla na baada ya matengenezo
  • Kutengeneza magari, pikipiki na mitambo pale panapohitajika kufanya hivyo.
  • Kutoa ushauri kwa madereva, maopereta wa mitambo kuhusu matumizi sahihi ya mtambo, pikipiki na magari.
  • Kusimamia matengenezo ya mitambo, mitambo na pikipiki pale matengenezo hayo yanapofanyika nje ya Manispaa
  • Kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa Manispaa na kuhusu matumizi sahihi ya mitambo, magari na pikipiki. 

Matangazo

  • Tangazo Mapokezi ya fedha za Ujenzi wa Miundombinu ya afya Zahanati ya Ufukoni June 14, 2022
  • Tangazo La Uuzwaji wa Biasharaza za jumla za mazazo ya shamba na nafaka soko la chuno June 19, 2022
  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Afisa Mtendaji wa Mtaa July 22, 2022
  • Tangazo la Maelekezo Kwa Waajiriwa Wapya wa Kada za afya na Elimu July 05, 2021
  • Tazama yote

Habari mpya

  • "Msiende Kuongeza Idadi ya watu,Kaleteni Uhalisia" Kaspar Mmuya

    August 16, 2022
  • Viongozi Wa Kata ,Mitaa Watakiwa Kutoa Hamasa ya Sensa

    August 16, 2022
  • Wasimamizi,Wataalamu wa TEHAMA, Makarani wa Sensa Watakiwa Kuwa Wazalendo

    August 15, 2022
  • Mtwara-Mikindani Yashika Nafasi ya Pili Maonesho ya Nanenane

    August 08, 2022
  • Tazama yote

Video

Simulizi za mabadiliko Shule ya Msingi Rwelu
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.