Posted on: July 19th, 2021
Ujenzi wa Nyumba ya Mganga Zahanati ya Mbawala Chini ukiwa kwenye hatua za umaliziaji baada ya kupokea fedha kutoka Serikali Kuu Shilingi 75,000,000 na fedha nyingine kutoka katika Mapato ya ndani ya ...
Posted on: July 10th, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Dustan Kyobya amewataka wananchi kuimarisha ulinzi na usalama kila siku katika maeneo yao.
Amesema kuwa pamoja na kuwepo kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama lakini ...
Posted on: July 9th, 2021
Kutokana na kuwepo kwa janga la Ugonjwa wa CORONA Duniani, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Dunstan Kyobya amewataka wananchi wote Wilayani Mtwara kutochukulia poa Ugonjwa huo badala...