Posted on: February 9th, 2021
Mfuko wa jimbo uliopo chini ya Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini Mhe. Selemani Mtenga umetoa shilingi 36,513,000 kwa ajili ya kuwezesha ujenzi na ukamilishaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo iliyopo M...
Posted on: February 6th, 2021
Wananchi wa Kata ya Ufukoni wakijitolea kumwaga wakijitolea kumwaga zege jamvi ikiwa ni muendelezo wa ujenzi wa madarasa matatu ya Shule ya Sekondari ya Sino.
Madarasa hayo yanajengwa na Manispaa y...
Posted on: February 5th, 2021
IKiwa leo februari 5,2021 Chama cha Mapinduzi kimetimiza miaka 44 tangu kuzaliwa kwake februari 5, 1977 Kamati ya siasa ya Chama hiko Wilaya ya Mtwara Mjini imetembelea Miradi mbalimbali ya Maendeleo ...