Posted on: November 27th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Kenani Sawala ameridhishwa na zoezi zima la upigaji kura linavyoendelea katika Manispaa ya Mtwara-Mikindani.
Akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kup...
Posted on: November 26th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Mhe. Abdalah Mwaipaya amewasisitiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura ili watumie haki yao ya kidemokrasia kupata viongozi sahihi wataongoza vyema Mitaa yao.
DC Mw...
Posted on: November 25th, 2024
Mbunge wa Mtwara Mjini Mhe. Hassan Mtenga, leo (Novemba 25,2024) amekabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya Tsh Milioni 40.7 katika kituo cha afya cha Likombe kilichopo Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-...