Posted on: July 31st, 2021
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara –Mikindani Bi. Shadida Ndile, amewataka Madiwani wa Manispaa ya Mtwara –Mikindani kutoa elimu kwa wananchi juu ya ukusanyaji na matumizi ya ada ya taka ngumu...
Posted on: July 31st, 2021
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Dustan Kyobya amewataka Madiwani na Watendaji wa Mitaa Manispaa ya Mtwara-Mikindani kuanzisha na kuboresha vikundi vya ulinz...
Posted on: July 29th, 2021
Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini Mhe. Hassan Mtenga Julai 28,2021 amekabidhi mabati 160 katika shule za msingi tatu zilizopo Manispaa ya Mtwara-Mikindani.
Mhe. Mbunge amekabidhi mabati hayo i...