Posted on: August 5th, 2021
Wanawake wa Manispaa ya Mtwara Mikindani wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupata huduma ya uchunguzi wa Saratani ya kizazi inayofanyika katika Kituo cha Afya Likombe kuanzia Agosti 5-7,2021, ili...
Posted on: August 5th, 2021
Mbunge wa jimbo la Mtwara Mjini Mhe.Hassan Mtenga kwa kushirikiana na bank ya CRDB , Agosti 4,2021 amefanya kikao na madereva wa pikipiki (bodaboda) ...
Posted on: August 3rd, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara BRIG. Jen Marco Gaguti Agosti 3, 2021 amezindua rasmi chanjo ya UVIKO-19 Mkoani Mtwara katika Kituo cha Afya Likombe huku akitoa maagizo kwa wamiliki kuzingatia ukaaji wa abiria...