Posted on: September 17th, 2021
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Taifa Ndg. Shaka Hamdu Shaka (wa kwanza kushoto walioinama) Leo Septemba 17,2021 ameshiriki ujenzi wa madarasa matatu katika ...
Posted on: September 8th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brig. Jen Marco Gaguti ametoa agizo kuanzia Septemba 7,2021 Soko la Chuno litakuwa linafunguwa saa mbili usiku badala ya saa 12 jioni ili kuboresho utoaji na upatika...
Posted on: September 7th, 2021
Katika kuhakikisha kuwa tunawaunga mkono wajasiriamali wetu ili waweze kukuza mitaji yao leo Septemba 7, 2021 tumetoa Mkopo wa shilingi 70,574,000 kwa vikundi vinane vya wajasiriamali wanaofanya biash...