Posted on: April 30th, 2022
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani Mhe. Shadida Ndile amewataka Madiwani wa Manispaa hii kuhakikisha wanatumia vizuri mitandao ya kijamii katika kuwapa majibu wananchi penye sintofahamu ili...
Posted on: April 30th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara ya Mtwara Mhe. Dunstan Kyobya amewataka Viongozi mbalimbali wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani kuhakikisha wanasimamia ulinzi na usalama katika maeneo yao na kuifanya kuwa ajenda...
Posted on: April 27th, 2022
Baada ya kupokea vifaa vya TEHAMA kutoka Serikali Kuu vilivyogawiwa April 25,2022 na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa Jijini Dar Es Salaaam, Leo April 27,2022 Manispaaa ya Mtwara-Mikindani i...