Posted on: December 9th, 2022
Katika kuadhimisha miaka 61 ya Uhuru Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Dunstan Kyobya amewataka wananchi wa Mtwara kuimarisha amani na umoja kwenye kila sekta ili kuimarisha maendeleo ya Taifa letu....
Posted on: December 8th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe.Dunstan Kyobya amewagiza watumishi wa Manispaa ya Mtwara-mikindani kufanya mazoezi ya mara kwa mara na kufanya michezo ili kuimarisha na kudumisha mahusiano ya wao kwa wao...
Posted on: December 6th, 2022
Kuelekea kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 61 ya Uhuru wa Tanzania Bara Desemba 9,2022 , Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Dunstan Kyobya, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani Shadida ndile...