Posted on: July 13th, 2022
Leo Julai 13,2022 tumepokea ugeni kutoka nchi ya pforzheim kutoka Ujerumani ambao ni mji rafiki na Manispaa yetu ya Mtwara-Mikindani
Manispaa na ugeni huo tumekubaliana kushirikiana kwenye masuala ...
Posted on: July 11th, 2022
Katika kuhakikisha kuwa soko la kisasa la chuno linakuwa salama pindi itakapotokea dharura ya majanga ya moto sokoni hapo, Jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoani Mtwara Julai 11 limefanya ukaguzi wa miun...
Posted on: July 11th, 2022
Baada ya wafanyabiashara wanaouza mbogamboga kwa jumla kuhamia soko la kisasa la chuno, Julai 11 ,2022 Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani Col. Emanuel Mwaigobeko ameambatana na wataalamu wa id...