Posted on: December 8th, 2020
Baraza la Madiwani la Manispaa ya Mtwara-Mikindani leo desemba 8, 2020 limemteua Diwani wa Kata ya Mtonya (CCM) Mhe. Shadida Ndile kuwa Mstahiki Meya wa Manispaa baada ya kupata kura ishirini na tatu ...
Posted on: November 1st, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Mhe. Dunstan Kyobya amesema kuwa katika msimu wa korosho wa mwaka huu, Bandari ya Mtwara inatarajia kusafirisha tani 11,000 za korosho na kuwataka wafanyabiashara mba...
Posted on: October 23rd, 2020
Ujenzi wa bweni la wanafunzi Shule ya Sekondari ya Mikindani iliyopo tarafa ya Mikindani unaendelea na umefikia asilimia 55.
Bweni hili linajengwa na Serikali kupitia Programu ya lipa kulingana na ...