Posted on: November 15th, 2021
Wagombea sita wa Udiwani Kata ya Likombe Novemba 15,2021 wamerejesha fomu z akuomba kuteuliwa kugpmbea nafasi hiyo kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchagzui Kata ya Likombe Bi. Mwanahmaisi chimbende
...
Posted on: November 11th, 2021
Kutokana na Kifo cha aliyekuwa Diwani wa Kata ya Likombe Mhe. Mohamed Rashid Mussa kilichotokea Desemba 9,2021 , Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Mtwara Mjini Col. Emanuel Mwaigobeko Col. Emnauel Mwaigo...
Posted on: November 10th, 2021
Baraza la Wafanyakazi Manispaa ya Mtwara-Mikindani kwa pamoja limeridhia kuanzisha Mfuko wa kufa na kuzikana kwa watumishi na kupendekeza kuwa kila Mtumishi kuchangia shilingi elfu mbili kila mwezi am...