Mambo yamekucha viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani leo Septemba 20, 2022 wamejitokeza kufanya matembezi ya amani ya kuhamasisha sensa ya watu na makazi inayotarajia kufanyika Agosti 23, mwaka huu.
Matembezi hayo yameongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Mtwara akiambatana na Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini Mhe . Hassan Mtenga pamoja na Mstahiki meya Manispaa ya Mtwara-Mikindani Bi Shadida Ndile
Mtwara-Mikindnai Tuko Tayari Kuhesabiwa
Sensa kwa Maendeleo Tujiandae Kuhesabiwa
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.