Mkurugenzi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani Mwalimu Hassan Nyange amewataka Watumishi wanaofanya kazi katika sekta ya afya chini ya mradi wa Afya Endelevu unaofadhiliwa na Taasisi ya Benjamini Mkapa kuzingatia nidhamu, maadili ya Kazi na kujituma ili kutoa huduma Bora kwa wananchi..
Aidha amewasisitiza Watumishi hao kuimarisha ushirikiano ,urafiki na upendo baina yao na viongozi wanaowasimamia.
Mwalimu Nyange ameyasema hayo Leo Januari 7,2025 alipozungumza na Watumishi hao katika Ukumbi mikutano wa Manispaa hiyo
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.