Madereva boda boda wanaofanya shughuli zano ndani ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani leo Agosti 22,2022 kw aumoja wao wamefanya matembezi ya manai ya kuhamasisha sensa ya watu na makazi huku wakisiistiza kumuuunga mkono Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwenye kwa kujitokeza kwney zoezi hili
"tunamuunga mkono mama ,hatumuangushi.tuko tayari kuhesabiwa "
Manispaa Mtwara-Mikindani
Anuani ya Posta: P. o. Box 92,
Simu ya mezani: 023-2333102
Simu ya mkononi:
Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz
Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.