Katibu Tawla Wilaya ya Mtwara Ndugu Mwinyi Ahmed Mwinyi akimeza Kinga tiba za Mabusha, Matende na Minyoo ya tumbo kama ishara ya uzinduzi wa zoezi la ugawaji wa dawa hizo uliofanyika katika Ofisi ya Kata ya Likombe Septemba 4,2023 ">
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani Mhe. Shadida Ndile akimeza dawa za mabusha, matende na Minyoo ya tumbo kwenye zoezi la uzinduzi wa dawa hizo lililofanyika Septemba 4,2023 katika Ofisi ya Kata ya Likombe ">
Wananchi wa Kata ya Likombe wakiwa kwenye foleni ya umezaji wa Kinga tiba za mabusha, matende na minyoo ya tumbo kwenye zoezi la uzinduzi wa umezaji wa dawa hizo Septemba 4,2023 katika Ofisi ya Kata ya Likombe ">
Posted on: September 4th, 2023
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mtwara Ndugu Mwinyi Ahmed Mwinyi amewahimiza wananchi wa Manispaa ya Mtwara-Mikindani kuhakikisha wanakunywa kinga tiba za mabusha, matende na minyoo ya tumbo kwa ...