• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mtwara Mikindani Municipal Council
Mtwara Mikindani Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Manispaa ya Mtwara Mikindani

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Idara
      • Elimu ya Sekondari
      • Elimu ya Msingi
      • Idara ya Maji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na biashara
      • Afya
      • Usafi na Mazingira
      • Ujenzi
      • Mipango Miji, Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Vijana
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa ndani
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na Mahusiano
      • Manunuzi na Ugavi
        • Fursa za Uwekezaji
          • Vivutio vya Utalii
          • Maeneo ya Viwanda
      • Ufugaji wa nyuki
      • Uchaguzi
      • Sheria
    • Muundo wa Kiutawala
    • Kata
      • Shangani
      • Rahaleo
      • Reli
      • Vigaeni
      • Majengo
      • Magomeni
      • Ufukoni
      • Mitengo
      • Magengeni
      • Mtonya
      • Kisungule
      • Jangwani
      • Mtawanya
      • Naliendele
      • Chikongola
      • Chuno
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Maeneo ya Viwanda
  • Huduma
    • huduma za maji
    • Huduma za afya
    • Huduma za elimu
    • HUduma za watumishi
    • Uzoaji wa taka ngumu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Wabunge na Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha na Uongozi
      • Mipangomiji na Ujenzi
      • Huduma za Jamii
      • Kudhibiti Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Ratiba za Vikao
      • Kumuona Mstahiki Meya
  • Mradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi mipya
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Miongozo
    • Fomu
    • Huduma kwa Mteja
    • Ripoti
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Videos
    • Hotuba
    • Maktaba cha Picha

Mwenge wa Uhuru

Sunday 17th, January 2021
@Mashujaa

Manispaa ya Mtwara-Mikindani inatarajia kupokea Mwenge wa Uhuru kutoka halmashauri ya Wilaya ya Mtwara mnamo tarehe 19,Juni 2018.  Mwenge utapokelewa Kata ya Mtonya eneo la stedni ya daladala na kukimbizwa huku ukifanya kazi za kuweka mawe ya Msingi, Kufungua Miradi pamoja na kuona na kukagua shughuli mbalimbali zinazofanywa na halmashauri.

Miradi itakayotembelewa na Mwenge ni pamoja na kuona na kukagua jengo la magereza iliyokuwa inatumika kipindi cha ukoloni Mikindani pamoja na kutembelea jengo la Livingstone kuona makumbusho, Kuweka jiwe la Msingi Nyumba za wakuu wa idara zilizopo shangani, Kuweka jiwe la msingi ujenzi wa kiwanda cha ushonaji kwa ajili ya wajasiriamali wadogo, kufungua jengo la maabara ya kupimia udongo, kutembelea shule ya Msingi ya Michael angle, kutembelea kiwanda cha kubangua korosho cha Micronix,Kuweka jiwe la Msingi kituo cha afya Likombe na kuweka jiwe la Msingi ujenzi wa maabara shule yasekondari Mangamba

Pamoja na Miradi hiyo pia zitagawiwa chandarua kwa wamam wajawazito, ugawaji w apikipiki kwa watendaji wa Kata, ugawaji wa mkopo wa vyerehani kwa wana vikundi.



Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili July 21, 2020
  • Tangazo la Maombi ya Kuendesha biashara katika Bustani za Kupumzikia May 21, 2020
  • Tangazo la Wajasiriamali wadogo June 01, 2020
  • Matokeo ya Darasa la Nne Manispaa Mtwara-Mikindani 2017 January 10, 2018
  • Tazama yote

Habari mpya

  • Mtwara-Mikindani Yagawa Vifaa Vya Usafi vya Mil.12.7

    October 07, 2020
  • Halmshauri Mkoani Mtwara Zaagizwa Kutenga Meneo ya Wazi

    October 10, 2020
  • Kyobya Azindua "Likombe Family Day'Awapa Tano Watumishi wa Kituo

    August 22, 2020
  • Wavuvi Mtwara Watakiwa Kutii Mabadiliko ya Sheria Mpya ya Uvuvi

    August 20, 2020
  • Tazama yote

Video

Simulizi za mabadiliko Shule ya Msingi Rwelu
Video nyinginezo

Viunganishi vya haraka

  • Zabuni ya ujenzi wa barabara km 4.1,Ujenzi wa Mfereji wa maji ya mvua toka Skoya,nabwada hadi Mtepwezi,Ujenzi wa soko la Chuno,Ukarabati wa stendi ya Mikindani pamoja na Uboreshaji wa sehemu za kupumzikia na michezo
  • Kupata matokeo ya Darasa la nne 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Matokeo ya Kidato cha Pili 2017 Manispaa Mtwara-Mikindani
  • Taratibu za Kupata fomu za Vileo

Viunganishi linganifu

  • Tovuti kuu ya Serikali
  • OR - TAMISEMI
  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Utumishi wa Umma
  • Tovuti ya Ajira
  • Tovuti ya Takwimu ya Taifa

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Manispaa Mtwara-Mikindani

    Anuani ya Posta: P. o. Box 92,

    Simu ya mezani: 023-2333102

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe: md@mtwaramikindanimc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018Mtwara Mikindani Manispaa . All rights reserved.